Climb the mountains
ChelseaKalidou KoulibalyKoulibalyusajili wa Koulibaly
Usajili wa Koulibaly;Chelsea watuma ofa nyingine kumnasa Koulibaly ikikubaliwa atakua beki ghari zaidi duniani.
Klabu ya Chelsea imetuma ofa mpya ya paundi milini 60 ili kumsajili beki wa Napoli Koulibaly, Chelsea wamejaribu kumsajili beki huko zaidi ya mara 5 ila mara zote hizo ofa zao zimekataliwa ikiwa Napoli watakubali ofa hiyo basi atakua ndo beki mwenye dhamani kuliko mabeki wote, Napoli wameweka wazi kua wanapenda kumbakisha nyota huyo na wapo tayari kumpa mkataba mpya ila mchezaji huyo hayupo tayari kubaki Napoli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



APKGAMEZ.com is committed to operating as a responsible digital platform with awareness of its environmental impact. As an online service, the website focuses on minimizing physical resource use by delivering content entirely in digital form, reducing the need for paper-based materials and printed publications. https://apkgamez.com/
ReplyDelete