Climb the mountains
Andreas ChistensenBarcelonaBorussia Monchenglabach
Barcelona wanamfukuzia kwa mara ya pili beki wa Chelsea.
Klabu ya Barcelona imerudisha tena nyavu ili kumsajili beki kinda wa Chelsea Andreas Chistensen anayecheza kwa mkopo katika klabu ya Borussia Monchenglabach,beki huyo aliyefanya kazi ya ziada kuwadhibiti wachezaji hatari wa Barcelona walipokutana katika mechi ya ligi ya mabingwa hata hivyo kocha wa Chelsea Antonio Conte aliweka wazi kua anamhitaji beki huyo na atarudi Chelsea pindi mkataba wa mkopo wa miaka miwili utapomalizika kwani hakutaka kuwaudhi Borussia Monchenglabach ambao wamemtunza vizuri kinda huyo hadi kua mchezaji mahiri.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment