Climb the mountains
ChelseaGenkJose MourinhoKevin De BruyneManchester CityTetesi za usajili
Kevin De Bruyne: Chelsea wanampendelea Eden Hazard.
Nyota wa Manchester City amesema kua Chelsea wamekua wakimpendelea Eden Hazard kwani yeye hakupewa nafasi ya kuonyesha uwezo wake kama alivyokua akipewa Eden Hazard,De Bruyne alisajiliwa na Chelsea kutoka klabu ya Genk kwa ada ya paundi milioni 18,Jose Mourinho aliamua kumuuza Kevin De Bruyne miezi sita tuu baada ya kurudi darajani alisema kua nyota huyo hataki kubaki Chelsea kuipigania nafasi nafasi yake.
Tags: Chelsea
, Genk
, Jose Mourinho
, Kevin De Bruyne
, Manchester City
, Tetesi za usajili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment