Kocha wa Chelsea ameweka wazi kwamba angependa kuendelea kubaki Chelsea zaidi kocha huyo wa Chelsea aliyasema hayo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari alisema"Na miaka miwili iliyobaki katika mkataba wangu na sisubiri kupewa ofa kutoka timu nyingine yoyote, sitatki kuondoka nataka kubaki Chelsea .
Pia Jose Mourinho aliongelea kuhusu rafu anazochezewa Eden Hazard katika mechi ya PSG alisema Eden ni mchezaji mwaminifu hajiangushi kuwadanganya marefarii wala hagombani na mabeki ni mchezaji mwenye bahati kuchezewa rafu nyingi na kutokuumia.


No comments:
Post a Comment