Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Ballon d'OrChelseaKurt Zouma

Zouma:Ndoto yangu ni kushinda tuzo ya Ballon d'Or, kwa kufuata nyayo za Fabio Cannavaro

Zouma: I dream of winning the Ballon d'OrKurt Zouma alisema anajisikia furaha kutambulika kama moja ya wachezaji nyota wanaochipukia na kuseama hawezi juta kujiunga na klabu ya Chelsea , alisema moja ya malengo yangu makubwa katika maisha yangu ya soka ni kushinda tuzo ya mwanasoka bora wa dunia maarufu kama Ballon d'Or , alisema angependa kufuata nyayo za gwiji wa soka kutoka Italia Fabio Cannavaro ili kutimiza malengo yake, Zouma amecheza mechi 11 msimu huu na kuonyesha kiwango cha juu hata alipochezeshwa kama kiungo mkabaji .

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib