Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaDrogbaKing DD

Drogba Kucheza mechi yake ya mwisho akiwa kama mchezaji wa Chelsea.

Mkongwe na mpachika mabao hatari wa klabu ya Chelsea Didier Drogba atacheza mechi yake ya mwisho leo ,ambapo baada ya hapo hajasema kama atastafu au atatafuta team nyingine, mpachika mabao huyo hatari alisema hayo katika account zake za kijamii kua ameongea kwa kina na kocha Josee kumueleza adhima yake ya kuondoka na kocha huyo ameheshimu maamuzi yake , Drogba alisajiliwa na Chelsea mnamo mwaka 2004 nakua moja ya wachezaji wa kutegemewa na Chelsea penati yake iliyowapa ubingwa wa ulaya Chelsea itabaki kua zawadi ya kudumu kwa mashabiki wa Chelsea mpaka atapotokea mkali mwingine wa kuwapa mashabiki wa chelsea furaha, mimi kama moja wa mashabiki wa Chelsea ningependa kusema asante kwa Didier drogba na kumtakia kila la heri katika maisha yake ya soka na ya nje ya uwanja Good Bye King DD

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib