Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Sir Alex Ferguson aitabiria makubwa zaidi Chelsea

Sir Alex Ferguson predicts more success for Mourinho & ChelseaChelsea wameshinda taji lao la kwanza baada ya miaka mitano, na kuweka rekodi ya kukaa kileleni siku 274, Sir Alex alisema Jose ana timu nzuri  hawezi kukubali kuacha timu nyingine zimshinde msimu ujao ,akimtolea mfano John Terry alisema Terry ni mchezaji wa pekee amecheza kila mechi msimu huu, kwa sasa Chelsea wanasherekea Ubingwa wa Uingereza baada ya mafanikio mazuri msimu huu.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib