Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Chelsea wamawapiku Man united kumsajili winga wa Barcelona Pedro kwa Ada ya paundi Million 30, Winga huyo anatarajiwa kuongeza nguvu kwenye kikosi cha Jose baada ya kuanza vibaya msimu huu Pedro ataungana na mchezaji mwnzake wa zamani wa barcelona Cesc Fabregas pia ataungana na muhispania mwenzake Azpilicueta


Chelsea's Cesc Fabregas, Pedro Rodriguez and Cesar Azpilicueta during a training session at the Cobham Training Ground

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib