Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Carlo AncelottiDiego simeoneGus PoyetJohn TerryPep Guardiola

Wajue makocha 6 wanoweza kumbadili Jose Mourihno

Wakati klabu ya Chelsea ikiendelea kusua sua kwenye ligi ya Uingereza tetesi za nani atakua kocha mpya wa Chelsea zimeendelea kushika hatamu. Hawa ni makocha sita ambao wanatajwa kupewa kazi Chelsea

1.Pep Guardiola.
Inafahamika kua Roman Abramovich mmiliki wa klabu ya Chelsea ni shabiki mkubwa wa Pep Guardiola, sababu ya mpira wake mzuri wa kumiliki mpira na kushambulia, ila itakua ni kazi ngumu kumtoa Pep Munich


2.Carlo Ancelotti
Kama Carlo atatua Stamford  Bridge basi atakua amerudi darajani kwa mara ya pili . Muitaliano huyo kwa sasa hana timu baada ya kuachaana na klabu ya real madrid
Real Madrid coach Carlo Ancelotti

3.Diego Simeone

Kocha huyo wa Atletico Madrid anapewa nafasi kubwa pia kuchukua kazi darajani


4.John Terry
Ndio John Terry ,Nahodha huyo wa Chelsea anaweza kuokota embe chini ya mnazi iwapo tajari wa Chelsea ataamua kumpa John timu mpaka mwisho wa msimu
John Terry

5.Antonio Conte


6.Gus Poyet

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib