Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Alex TeixeiraChelseaHiddinkUEFA

Chelsea yafikia makubaliano kumsajili Alex Teixeira



Habari zinasema klabu ya Chelsea yenye makazi yake jijini London Uingereza imefikia makubaliano na klabu ya Shakhtar Donestk kumsajili mshambuliaji wa Shakhtar Alex Teixeira kwa dau lenye dhamani ya euro millioni 30 ifikapo mwezi january katika dirisha dogo la usajili,kama usajili huo utakamilika basi unaweza kua ni usajili wa kwanza wa kocha mholanzi Hiddink tangu arudi Chelsea japo mchezaji huyo hataweza kucheza mechi za UEFA na Chelsea kwa kua ameshashiriki mashindano hayo na Shakhtar.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib