Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

adidasChelseaChelsea New Kits

Chelsea na Adidas wakubaliana kuvunja mkataba

Klabu ya Chelsea na kampuni ya Adidas wamekubaliana kuvunja mkataba wao mwisho wa msimu ujao wa 2016/2017,kampuni ya adidas walikua wakiwapatia Chelsea udhamini wa vifaa vya michezo kama jezi za mazoezi pamoja na mechi, Chelsea waliingia mkataba na Adidas mwaka 2016 kikiwa ni kipindi cha mafanikio kwa Chelsea wakiipeperusha vyema jezi ya Adidas kwa kushinda makombe mawili ya ligi ya Uingereza,kombe moja la UEFA,kombe moja la EUFA EUROPA, makombe manne ya FA na makombe mawili ya capital one.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib