Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaEduardoZagreb

Chelsea wamsajili golikipa wa Ureno.

Klabu ya Chelsea leo wamethibitisha kua wamemsajili golikipa Eduardo kutoka Dinamo Zegrab, inaaminika kipa namba mbili Asmiri Begovic ataondoka klabu ya chelsea msimu huu hivyo Eduardo anategemewa kuchukua nafasi yake

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib