Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaChelsea Center BackDavid LuizpsgTanzania

Chelsea watuma ofa ya paundi milioni 32 kumrudisha David Luiz darajani.

Klabu ya Chelsea imetuma ofa ya paundi million 32 kumrudisha David Luiz, beki huko aliuzwa kwa paundi milioni 50 miaka miwili iliyopita ila kwa sasa inaonekana hana namba chini ya kocha mpya wa PSG. Kabla ya kuondoka Luiz alikua kipenzi cha mashabiki wa Chelsea.  Chelsea wameamua kutuma ofa kumsajili Luiz baada ya ofa zao kumsajili Koulibaly kukataliwa na Napoli.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib