1.David Luiz
Klabu ya Chelsea bado inahangaika kupata beki wa kati atakaesaidiana na John Terry pamoja na Gary Cahill na habari zinasema Luiz yuko njiani kuelekea Uingereza kukamilisha usajili huo.
2.Aymen Abdennour
Inasemekana Chelsea wanamtaka Abdennour kwa mkopo pia kukiwa na kipengere cha kumnunua moja kwa moja msimu ukiisha.
Climb the mountains
ChelseaChelsea carsDavid LuizDeadline day
Hawa ndo wachezaji Chelsea inaoweza kuwasajili masaa sita kabla dirisha la usajili halijafungwa leo.
Tags: Chelsea
, Chelsea cars
, David Luiz
, Deadline day
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment