Climb the mountains
ChelseaManchester CityPierre-Emerick Aubameyang
Chelsea na Manchester City kufukuzia saini ya mshamnuliaji machachari wa Borrusia Dortmund mwisho wa msimu.
Miamba ya London Chelsea wanaomilikiwa na tajiri wa Urusi na miamba wa Manchester City wanaomilikiwa na tajiri kutoka Falme za kiarabu watakua kwenye vita ya kunasa saini ya mshambuliaji wa klabu ya Borussia Dortmund Pierre-Emerick Aubameyang ambaye ameweka wazi ataondoka klabuni hapo mwisho wa msimu huu. klabu yoyote itayofanikisha kupata saini yake itatakiwa kutumia si chini ya paundi milioni 65.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment