Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Chelsea yawasimamisha Mashabiki wake watatu.



Klabu ya chelsea yenye makao yake london uingereza imewasimamisha mashabiki wake watatu kutokana na kitendo cha ubaguzi wa rangi , tukio hilo lilitokea paris siku ya jumanne tarehe 17 ambapo mashabiki hao wa chelsea walimzuia kijana moja mweusi kupanda kwenye treni, hata hivyo klabu ya chelsea imesema inaendelea kushirikiana na idara ya polisi jijini paris kuhakikisha ina baini mengingine zaidi katika tukio hilo . Mashabiki wenye taarifa zozote za zaidi kuhusu tukio hilo wametakiwa kuzivikisha kwa klabu kwa kutumia anuani hii customer.services@chelseafc.com

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib