Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Uchambuzi wa Chelsea Vs Burnley

            Chelsea - Burnley Betting: Expect a tough day for Sean Dyche's side
       Chelsea walioko kileleni watarudi tena kwenye mechi za ligi kuu england dhidi ya burnley wanaoshika nafasi 19 wakiwa katika hatari ya kushuka daraja Chelsea watahitaji ushindi kuendelea kutunza alama saba walizowaacha Manchester city kujihakikishia mbio za ubingwa hazi haribiki.
        Chelsea watakua na mshambuliaji wao matata Diego Costa Aliyemaliza adhabu yake ya kutocheza mechi tatu aliyokua akitumikia kutokana na mchezo mbaya dhidi ya mchezaji wa liverpool ,mechi inayotarajiwa kuwa ngumu kwa timu ya Burnley kwani wamecheza mechi 11 bila ushindi wowote.
         

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib