Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Radamel Falcao: Columbia striker has signed for Chelsea
Klabu ya Chelsea ilitangaza kukamilisha usajili wa Radamel Falcao kwa mkopo wa mwaka moja kutoka klabu ya Monaco ya nchini Ufaransa ,Mshambuliaji huyo wa Timu ya taifa ya Colombia atalejea Uingereza kwa mara ya pili safari hii akiwa na matumaini ya kufanya vizuri baada ya msimu uliopita kwenda vibaya kwake , Falcao atakutana na kibarua cha kutetea taji la uingereza EPL libaki Chelsea pamoja na kuisaidia Chelsea kufanya vizuri katika Kombe a Ulaya yani UEFA




Chelsea Fans tupo Facebook like page yetu hapa Bonyeza Hapa
Tupo na Youtube Pia subscribe kwenye channel yetu hapa Bonyeza Hapa

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib