Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaTanzaniaTransfer window

Diego Costa Amtaka Turan Darajani


Mpacheika mabao hodari wa Klabu ya Chelsea Diego Costa ameweka wazi kua angependa kucheza na Adan Turani katika klabu ya Chelsea Misimu ujao ikiwa Turan atatua Chelsea basi ataungana na wachezaji aliowahi kuichezea A.Madridi Filipe Luis na Diego Costa ,Adan Turan ameweka wazi angependa kujiunga na mabingwa wa uingereza ikiwa pamoja na kusitisha mazungumzo na Klabu a Man u na Barcelona ili kusubiri ofa ya Chelsea.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib