Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaFilipe LuisJohn StonesJose MourihnoRahman BabaTanzania

Chelsea Kumsajili Rahman Baba siku chache zijazo.



Tetesi za  usajili zinasema matajiri wa London wanatarajiwa  kukamilisha usajili wa beki wa kushoto Augsburg kuziba pengo la Filipe Luis aliye rejea katika klabu yake ya zamani ya Atletico Madrid ya hispania lakini wanasema kwamba usajili wa kinda huyo wa miaka 21 bado haujakamilika,kocha Jose Mourihno amesema ni mchezaji wa Augsburg siwezi kumuongelea kwa sasa ila nakili ni kweli tumejaribu kumsajili, Jose aligoma kuongelea Usajili wa mlinzi wa kati wa Everton John Stone baada ya dau lao la pili kukataliwa ila wanamatumaini ya kinda huyo kuomba mwenyewe kuondoka.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib