Miamba ya London,Uingereza watajitupa uwanjani kushindania taji la kwanza msimu huu huku Jose na Wenger wakikutana kwa mara ya 14,Mourhino akifanikiwa kushinda Mechi saba na kudroo 5 akiwa hajafungwa mechi hata 1 na Wenger.
Arsenal wataelekea Wembley wakiwa na mlinda mlango wa zamani wa Chelsea Peter Cech, huku Chelsea wakiwa na wachezanyi nyota wawili wapya kwenye kikosi Radameli Falcao na Asmir Begovic, Kinda wa Brazil Kenedy hatacheza kutokana na kutopata kibali cha kuchezea Uingereza.
Habari za timu.Chelsea
Chelsea wanatalajiwa kuwa na mshambuliaji wao nyota Diego Costa aliyepata majeraha katika Mechi ya Barcelona,pia watakua na mlinzi wao wa kati Gary Cahill aliyepata majeraha ya pua katika mechi ya Barcelona pia.Soma zaidi(Read More)


No comments:
Post a Comment