Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Antonio ConteChelsearadja nainggolan

Chelsea kumsajili Radja Nainggolan

Klabu ya Chelsea imekubaliana na As Roma kumsajili kiungo wao mahiri Radja Nainggolan wakati wa dirisha la usajili kwa ada ya paundi millioni 26,huo utakua usajili wa kwanza wa kocha mpya wa Chelsea Antonio Conte. Chelsea wanamefanya usajili huo kwa nia ya kuimaimarisha safu yao ya kiungo mbeligji huyo atakutana na mbelgiji mwenzake Eden Hazard

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib