Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaEden Hazard

Hazard;Nataka kubaki Chelsea.

Winga wa kimataifa wa ubeligiji na Chelsea Eden Hazard amemwambia kocha ajaye wa Chelsea Antonio Conte kwamba angependa kubaki Chelsea msimu ujao. Hazard amekua na msimu mbaya msimu huu kwa kutokufunga goli hata moja kwenye ligi.


Eden Hazard is the winner of the PFA's Player of the YearA dejected looking Eden Hazard after Zlatan Ibrahimovic scored to make it 1-2 during the Champions League match between Chelsea and PSG on March 9, 2016

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib