Climb the mountains
Alvaro MorataChelseaChelsea Summer transferreal madridTransfer window
Chelsea wajiunga kwenye mbio ya kumsajili Alvaro Morata.
Klabu ya Chelsea imejiunga kwenye mbio za kusaka saini ya Alvaro Morata mshambuliaji huyo machachali wa Juventus amekua akifanya vyema tangu ajiunge na miamba hao wa Italia akitokea Real Madrid hata hivyo klabu yake ya zamani inapewa kipaumbele cha kumsajili tena kama wakitaka kutokana na mkataba waliosaini wakati wa kumuuza unaowapa nafasi ya kwanza ya kumnunua tena.
Tags: Alvaro Morata
, Chelsea
, Chelsea Summer transfer
, real madrid
, Transfer window
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment