Klabu ya River Plate ya Argentina imewambia Chelsea walipe £8 million kama wanataka kumsajili beki wao wa kati, hata hivo Chelsea watapata ushindani kutoka klabu za Italy Inter Milan na Fiorentina ambao nao wanamfuatilia kwa karibu beki huyo wa kati.
Climb the mountains
ChelseaEmanuel MammanaTanzaniaTetesi za usajili
Tetesi za usajili:Hichi ndicho kiasi cha pesa Chelsea wanachotakiwa kulipa kumsajili beki wa Argentina.
Tags: Chelsea
, Emanuel Mammana
, Tanzania
, Tetesi za usajili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment