Siku chache baada ya klabu ya Chelsea kutangaza kwamba watasitisha mkataba na kampuni ya Adidas habari ndani ya Chelsea zinasema miamba hao wa uingereza wamepata dili lingine kutoka Nike la £60 million ambayo ni mara mbili ya Adidas waliokua wakiipa Chelsea £30 millioni, kwa mkataba huo Chelsea itakua nyuma ya Manchester united ambao wanapata £75 millioni ,mara mbili ya Arsenal wanaopata ufadhili kutoka puma na mara tatu zaidi ya Manchester City. Hii sio biashara mbaya kwa Chelsea kwani iliingia gharama ya £40 million kuvunja mkataba na Adidas.


No comments:
Post a Comment