Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Klabu ya Chelsea imetangaza kua beki wao mkongwe John Terry amesaini mkataba mpya wa mwaka moja.  Taarifa hizo zimeatolewa baada ya mazungumzo kati ya John Terry kocha mpya wa Chelsea Antonio Conte na mmiliki wa Chelsea tajiri kutoka Russia bwana Roman Abramovich. John Terry alicheza mechi yake ya kwanza mwaka 1998 baada ya hapo ilikua ni mfululizo wa mafanikio kimaisha na kimpira kwa kuweza kushinda mataji mbali mbali pamoja na kuitumikia timu ya taifa ya Uingerezq. Sisi kama mashabiki tunamshukuru tajiri wetu Abramovich kutubakishia legend wetu.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib