Climb the mountains
Kiungo wa Chelsea na Hispania ameweka wazi kua angependa timu yake ya taifa wawafunge Italy timu inayofundishwa na Antonio Conte ambaye ataanza kuifundisha klabu ya Chelsea baada ya mashindano ya EURO kuisha ila anaweza kuwahi ikiwa timu yake ya Italy itatolewa mapema kitu ambacho Fabregas yupo tayari kukufanya, Fabregas alisema aliongea na Conte akamueleza jinsi alivyopanga kumtumia katika kikosi chake na alimueleza mipango yake kuhusu timu kwa ujumla.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment