Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

BelgiumChelseaEuro 2016Football Manager 2017Mitch BatshuayiOlympic MarseilleTanzaniaTetesi za usajiliTransfer NewsWonder kids

Forward wa Olyimpic Marseille anajianda kufanya vipimo Chelsea baada ya dau la £ milioni 33.2 kukubaliwa.

Fowadi wa Olympic Marseille na timu ya taifa ya Ubelgiji Mitch Batshuayi anategemewa kufanya vipimo vya afya siku chache zijazo baada ya dau la € milioni 40(£milioni 33.2) kutoka klabu ya Chelsea kukubaliwa, Batshuayi anatajwa moja ya mafowadi chipukizi wanaofanya vizuri baada ya kufanikiwa kupachika magoli 17 kwenye ligue 1 msimu uliopita.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib