Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Andre GomesBeneficaChelseaUrenoValencia

Chelsea waambiwa walipe paundi milioni 45 kumsajili winga wa Ureno.

Klabu ya Chelsea imeambiwa kuongeza dau lau mpaka kufikia paundi milioni 45 kama wana nia ya kumsajili winga wa Valencia na timu ya Taifa ya Ureno Andre Gomes,kwa sasa klabu ya Chelsea wanafanya kila jitihada kukijenga upya kikosi chao kwa ajili ya msimu ujao. Andre Gomes anayefanya vizuri kwenye mashindano ya Euro ana miaka 22 alijiunga na Valencia akitokea Benefica ya Ureno.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib