Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaDimitri PayetTransfer NewsUsajiliWest Ham

Kibao kimegeuka sasa West Ham United wanaiogopa Chelsea.

Mwanzoni mwa wiki hii klabu ya West Ham united waliipiga Chelsea mkwara mzito kwamba mchezaji wao Dimitri Payet hauzwi kwa hela yoyote ila sasa wanaogopa kwa kua Chelsea wameonyea bado wanamtaka Payet na West Ham wanaogopa Chelsea wanaweza mpa Payet mkataba wenye maslahi zaidi. Dimitri Payet amekua moto wa kuotea mbali kwenye mashindano ya Euro akiisaidia ufaransa kushinda kwenye mechi 2 mfululizo kitu kilichopelekea klabu kubwa ulaya kuanza kumnyatia tetesi zinasema Chelsea na Real Madrid ndio klabu zilizoweka wazi nia ya kumsajali mchezaji wao.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib