Climb the mountains
ChelseaChelsea fansLeicesterligiN'golo KanteTanzaniaUsajili
Chelsea wafanya mazungumzo na N'golo Kante.
Klabu ya Chelsea imefanya mazungumzo na kiungo wa Leicester City ili kumshawishi mchezaji huyo kujiunga nao, Chelsea na Kante wemekutana kwenye vikao kadhaa, hata hivyo inaelezwa Kante amesema kwa sasa anachokifikiria kwanza ni mashindano ya Euro yanayofanyika Ufaransa nchi yake wakiwa ndo wenyeji wa mashindno hivyo ataendelea na mazungunzo baada ya Euro kuisha, Chelsea wako sokoni kutafuta kiungo ili kuimalisha safu yao ya viungo na imekua ikawatazama wachezaji kadhaa kama Radja Nainglong na Paul Pogba.
Tags: Chelsea
, Chelsea fans
, Leicester
, ligi
, N'golo Kante
, Tanzania
, Usajili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment