Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Agent wa Mchezaji Antonio Rudiger alikua London siku ya jumatano inasemekana alikua akifanya mazungumzo na The Blues kuhusu usajili wa mteja wake Rudiger ndo kwanza amesajili na As Roma aliyoichezea kwa mkopo msimu ulioisha ila hiyo haijaizuia Klabu ya Chelsea kuwapa ofa ya paund 22 million ili wawauzie beki huyo wa kati,Klabu ya Chelsea itawapa na Musundo kwa mkopo ili kurahisisha dili hilo.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib