Climb the mountains
Atletico MadridChelseaDiego CostaTetesi za usajili
Diego Simone kubaki Atletico Madrid iwapo uongozi utamrejesaha Diego Costa
Muda mfupi baada ya Atletico kufungwa kwenye fainali za Uefa na Real Madrid kocha wa Atletico ameweka wazi atabaki klabuni hapo msimi ujao kama uongozi uta msajili tena mpachika mabao wao wa zamani Diego Costa. Costa alijiunga na klabu ya Chelsea mwaka 2014 na kuisaidia klabu hiyo kuchukua ubingwa wa uingereza msimu wa 2014/2015. Hata hivyo haitakua rahisi kwa Chelsea kumruhusu Diego Costa kuondoka kwa bei rahisi kwani watategemea kupata fedha ya kutosha ili kukamilisha usajili wa nyota wanaowafukuzia kama Alvaro Morata, Gonzalo Higuani, Paul Pogba na Radja.
Tags: Atletico Madrid
, Chelsea
, Diego Costa
, Tetesi za usajili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment