Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

BarcelonaChelseaDani AlvesJuventusStephan Lichtsteiner

Beki wa Juventus amesema yupo tayari kumfuata Conte Chelsea.

Beki wa Juventus Stephan Lichtsteiner amesema yupo tayari kuungana na kocha wake wa zamani Conte kwenye klabu ya Chelsea hii inachangiwa na Dani Alves wa Barcelona aliyepo mbioni kukamilisha uhamisho wake wa kwenda Juventus. 

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib