Climb the mountains
Klabu ya Fernabahce yenye makazi yake nchini uturuki wanafikiria kumsajili fowadi wa Chelsea Loic Remy kwa ada ya £7 milioni, Conte anampango wa kununua washambiliaji wapya na anafikiria kuwasajili Lukaku na Alvaro Morata.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment