Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Klabu ya Chelsea wametuma ofa ya £ 19.5 milioni kumsajili beki wa Napoli na Senegal Kaliduo Koulibaly mwenye miaka 24,hata hivyo Napoli wameiambia klabu ya Chelsea kupandisha ofa yao mpaka £ 30 milioni kama wanataka kumsajili beki huyo,wiki iliyopita beki huyo aliweka wazi kwamba yupo tayari na anapenda kujiunga na Chelsea kitu kilichopelekea klabu ya Napoli kuchukizwa na matamshi ya beki huyo wa kati.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib