Climb the mountains
Klabu ya West Ham wamewapiga mkwara Chelsea kua mchezaji wao mwenye ufundi mwingi uwanjani na hodari wa wa mipira ya adhabu Dimitri Payet (foul) hauzwi kwa dau lolote ile, maskauti wa Chelsea wamemshawishi Conte kumsajili Payet wakiamini mchezaji huyo ataleta chachu ya mpira wa kushambulia kama atatua Chelsea. West Ham walimnunua Payet kwa ada ya Pound Million 10.7 kutoka klabu ya Marseille ya ufaransa.
Tags: Chelsea
, Dimitri Payet
, Transfer News
, Usajili
, West Ham
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment