Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Alvaro MorataAtletico MadridChelseaDiego CostaDiego simeonelukaku

Diego Simeone bado anamtaka mshambuliaji huyu wa Chelsea

Kocha wa Atletico Madrid ameuambia uongozi wa timu hiyo wamrudishie Diego Costa Atletico Madrid, kocha huyo ambaye aliweka bayana kua anamtaka Diego Madrid amuagiza uongozi wa Atletico kutuma ofa kubwa ili kuwashawishi Chelsea kuwauzia Diego, Antonio Conte ameweka wazi kua anataka Diego Costa abaki Darajani msimu ujao kitu kinachoweka ugumu kwenye jitihada za Atletico kumsajili tena wanatumaini kama Chelsea itawapata moja kati ya Alvaro Morata, Lukaku au Matchy inaweza kuwashawishi kumuuza Diego Costa.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib