Climb the mountains
Arda TuranCheleaEuro 2016Joao MarioportugalTetesi za usajiliTetesi Za Usajili UlayaUreno
Chelsea wafikiria kuwasajili Joao Mario na Arda Turan.
Baada ya kuisaidia timu yake ya taifa ya Ureno kinyakua kombe la EURO Joao Mario ameingia katika rada ya mascout wa Chelsea, inasemekana Chelsea wanafikiria kumsajili kiungo huyo wa kati ili kuimarisha safu yake ya kiungo iliyolegalega, pia Chelsea wamerudisha matumaini ya kumsajili winga Arda Turan baada ya kumkosa mara ya kwanza kwani kiungo huyo alichagua kujiunga na Barcelona na kuwaacha Chelsea kwenye mataa ila kutokana na kutoweza kuonyesha kiwango kizuri Barcelona imemuweka kwenye wakati mgumu kwani tayari Barca wameshasajili mchezaji anayecheza namba yake.
Tags: Arda Turan
, Chelea
, Euro 2016
, Joao Mario
, portugal
, Tetesi za usajili
, Tetesi Za Usajili Ulaya
, Ureno
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment