Climb the mountains
Antonio ConteCheleaConte in londonConte to cobhamkocha mpya wa chelsea
Conte tayari ametua London aelekea moja kwa moja kwenye uwanja wa mazoezi wa Chelsea(Cobham)
Kocha muitaliano anayeanza kibarua chake kipya cha kuinoa klabu ya Chelsea tayari amekwisha wasili London mji ambao Chelsea ndo makazi yake na tayari ameelekea moja kwa moja kwenye uwanja wa mazoezi ambapo atafanya mkutano na waandishi wa habari na kukutana na wachezaji pamoja na wafanyakazi wengine wa Chelsea.
Tags: Antonio Conte
, Chelea
, Conte in london
, Conte to cobham
, kocha mpya wa chelsea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





No comments:
Post a Comment