Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaKalidou KoulibalyNapoliTetesi za usajiliTransfer News

Chelsea washinda mbio za kumsajili beki wa Napoli.

Baada ya kuwapiku Arsenal, PSG na Real Madrid sasa Chelsea imeonyesha kwamba ina uwezo wa kuwasajili wachezaji nyota bila hata kucheza mashindano ya UEFA ambapo dau lao la paundi milioni 30 kumsajili beki wa Napoli Kalidou Koulibaly kukubaliwa, mchezaji huyo aliyekataa kuongeza mkataba mpya Napoli anatazamiwa kusajiliwa na Chelsea baada ya kumalizana mambo ya kiofisi na Napoli.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib