Climb the mountains
ArsenalChelseaEuro 2016LeicesterManchester unitedN'golo KantePlayer of the yearreal madridTetesi za usajiliTransfer News
Kante azikataa Man United na Arsenal asema anataka kwenda Chelsea.
N'golo Kante sio jina geni kwa wale tuliofuatilia ligi ya uingereza msimu uliopita moja ya wachezaji walio kua na mchango mkubwa kabisa katika kikosi cha Leicester na kuiwezesha kuchukua ubingwa wa ligi ya uingereza kwa mara ya kwanza na kuishangaza dunia, kiwango chake cha juu kilizifanya klabu kubwa nyingi za ulaya kuonyesha nia ya kumsajili,klabu kama Real Madrid, PSG,Arsenal, Manchester United pamoja na Chelsea, hata hivyo Mfaransa huyo ameweka wazi kua atapenda kujiunga na Chelsea msimu ujao.
Tags: Arsenal
, Chelsea
, Euro 2016
, Leicester
, Manchester united
, N'golo Kante
, Player of the year
, real madrid
, Tetesi za usajili
, Transfer News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment