Climb the mountains
ChelseaConteNapoliTetesi za usajiliTransfer News
Conte auambia uongozi wa Chelsea anahitaji wachezaji wengine watano ili kupigania ubingwa.
Kocha mpya wa klabu ya Chelsea Antonio Conte aliwaambia viongozi wa Chelsea kua wamsajilie wachezaji wengine watano ili kuipa nafasi Chelsea ya kuchuana kupata ubingwa Conte alisema hayo katika kikao kilichofanyika baada ya mechi dhidi ya Rapid Viena ambapo Chelsea walilala kwa bao mbili, inaelezwa Conte bado anamatumaini ya kumsajili beki wa Napoli Koulibay,kwani anahitaji beki mzuri wa kati.
Tags: Chelsea
, Conte
, Napoli
, Tetesi za usajili
, Transfer News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment