Climb the mountains
ChelseaKanteN'golo Kante Numberpre season matches
Kante achagua namba yake ya mgongoni.
Kiungo wa timu ya taifa ya ufaransa na klabu ya Chelsea amechaguwa kuvaa jezi namba saba katika maisha yake ya Chelsea,anachukua namba hiyo iliyoachwa na Ramires aliyeihama klabu ya Chelsea mwezi wa kwanza kuenda kucheza soka nchini china, pia uongozi umesema Kante atajiunga na kikosi cha Chelsea kilichoko Marekani wiki hii kwa ajili ya maandalizi ya mechi Za kirafiki.
Tags: Chelsea
, Kante
, N'golo Kante Number
, pre season matches
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment