Climb the mountains
Andre GomesChelseaLuis NaniMirrorMirror ChelseaSport NewsTetesi za usajiliTransfer NewsValencia
Valencia wakataa dau la paundi milioni 40 kutoka Chelsea wanaotaka kumsajili Andre Gomes.
Klabu ya Valencia imekataa dau la paundi milioni 40 kutoka Chelsea ambao wanamtaka Andre Gomes mwenye miaka 22, Gomes anayefananishwa na Michael Ballack anasifika kwa umahiri wake wa kucheza na vyumba(Box to Box Midfielder) amekua mchango mkubwa kwenye timu yake ya Taifa ya Ureno, hata hivo inasemekana Gomes ataondoka Valencia msimu huu baada ya Valencia kushindwa kufuzu mashindano ya UEFA.
Tags: Andre Gomes
, Chelsea
, Luis Nani
, Mirror
, Mirror Chelsea
, Sport News
, Tetesi za usajili
, Transfer News
, Valencia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment