Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Wakala mkubwa wa michezo duniani Jorge Mendes aka Super Agent amewaofa Chelsea na Manchester United Mchezaji wa Atletico Madrid Saul Niguez, Mendes ambaye  ana hisa kwa Niguez alizozinunua mwaka 2011 wakati klabu ya Atletico ilipokumbwa na uhaba wa kifedha, Mendes amefanya mazungumzo na klabu za Manchester united na Chelsea kuona kama wanaweza kumsajili Niguez.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib