Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Cesc FabregasCheleafabregas to real madrid rumorsJuventusMonacoreal madrid

Baada ya Chelsea kujaribu kumuuza, Cesc Fabregas aamua hatma yake.

Kiungo wa Chelsea Cesc Fabregas ambaye klabu ilijaribu kumuuza kwenda klabu nne barani ulaya amesema yeye angependa kubaki darajani na kugombea nafasi klabuni hapo kwani anajisikia furaha, kwa upande wake kocha Antonio Conte alisema kua kitendo cha Fabregas kuachwa kwenye kikosi cha kwanza kinaweza kumtokea mchezaji yoyte kwani msimu huu ni wa kupigana kufa kupona kuhakikisha wanafanya vizuri hivyo mchezaji atayekua katika hali nzuri kimchezo ndie ataye pata namba,mapema wiki hii Chelsea walijaribu kumuuza Fabregas kwa klabu kama Madrid,Juventus,PSG na Monaco.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib