Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaCrystal palaceLoic RemyTetesi za usajiliTransfer News

Crystal Palace wanataka kumsajili mshambuliaji wa Chelsea,


Klabu ya Crystal Palace wameingia katika mbio za kuinasa saini ya mshambuliaji wa Chelsea Loic Remy ambaye anategema kuuzwa ili kumuachia nafasi mshambuliaji mpya atayesajiliwa, klabu yake ya zamani Lyon wanamtaka kwa mkopo ila wanahofia kwamba hawataweza kufikia kiwango cha mshahara atachokihitaji Loic Remy anayelipwa paundi 85000/= kwa wiki na klabu ya Chelsea, klabu nyingine zinazomtaka ni pamoja na Villarreal ya hispania Beskita na Galatasaray zote za Uturuki.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib