Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaMkopoRahman BabaSchalke

Rahman Baba ajiunga na Schalke kwa mkopo, ijue sababu iliyomfanya Conte amtoe.

Beki wa kushoto wa Chelsea Rahman Baba amejiunga na klabu ya Schalke ya Ujerumani kwa mkopo, beki huyo alijiunga na Chelsea kwa ada ya paundi milioni 22 akitokea Augsburg alishindwa kupata namba ya kudumu katika kikosi cha Chelsea ila alionyesha kila dalili ya kufanya vizuri, sababu kubwa inayodaiwa kua ndo chanzo cha Rahman kutolewa ni sababu anapenda sana kupanda mbele kushambulia kitu ambacho Conte anakipenda ila anasema uzowefu unaweza kua sababu ya Baba kutoimudu vizuri nafasi hiyo hivyo kumtaka aende katika timu atakayopata namba ya mara kwa mara ili kujiimarisha zaidi kabla ya kurudi Chelsea.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib